Mwandishi:
ULY CLINIC
Mhariri:
ULY CLINIC
Imeboreshwa:
28 Januari 2026, 10:49:47

Kipimo cha mimba kwa mkojo- Kikokotoo cha kutafsiri majibu
Jinsi ya kutumia Kikokoteo cha Kipimo cha Mimba
Kikokotoo hiki kinakusaidia kujua kama muda wa kupima mimba kwa njia ya mkojo umefika au bado ni mapema, kulingana na tarehe ya hedhi yako ya mwisho na urefu wa mzunguko wako wa hedhi.
Jaza tarehe ya siku ya kwanza ya hedhi ya mwisho, kisha weka idadi ya siku za mzunguko wako wa hedhi. Baada ya kubonyeza “Angalia Matokeo”, kikokoteo kitakuambia:
Kama unapaswa kusubiri kabla ya kupima, au
Kama muda wa kupima umefika, pamoja na maelezo ya nini cha kufanya kulingana na majibu ya kipimo.
Kumbuka:
Kikokoteo hiki hakithibitishi mimba, bali kinakusaidia kupima kwa muda sahihi ili kupata majibu yaliyo karibu zaidi na uhalisia.
Kama hufahamu idadi ya siku za mzunguko wako wa hedhi tumia kikokoyoo kwa kubofya hapa
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeandikwa,
28 Januari 2026, 10:17:20
Rejea za mada hii
Cole LA. hCG, the wonder of today’s science. Reprod Biol Endocrinol. 2012;10:24.
Wilcox AJ, Baird DD, Dunson DB, McChesney R, Weinberg CR. Natural limits of pregnancy testing in relation to the timing of implantation. Am J Epidemiol. 2001;153(7):702–9.
Gronowski AM. False-negative pregnancy test results: causes and implications. Clin Chem. 2009;55(7):1380–2.
Cunningham FG, Leveno KJ, Bloom SL, et al. Williams Obstetrics. 26th ed. New York: McGraw-Hill; 2022.
Bastian LA, Nanda K, Hasselblad V, Simel DL. Diagnostic efficiency of home pregnancy test kits. Arch Fam Med. 1998;7(5):465–9.
National Institute for Health and Care Excellence (NICE). Ectopic pregnancy and miscarriage: diagnosis and initial management. London: NICE; 2019.
Fritz MA, Speroff L. Clinical Gynecologic Endocrinology and Infertility. 9th ed. Philadelphia: Lippincott Williams & Wilkins; 2020.
World Health Organization. Medical eligibility criteria for contraceptive use. 5th ed. Geneva: WHO; 2015.
American College of Obstetricians and Gynecologists (ACOG). Early pregnancy loss. Practice Bulletin No. 200. Obstet Gynecol. 2018;132(5):e197–207.
Johnson S, Cushion M, Bond S, Godbert S, Pike J. Comparison of analytical sensitivity and women’s interpretation of home pregnancy tests. Clin Chem Lab Med. 2015;53(3):391–402.
