top of page

Majibu ya maswali mbalimbali

Je ni dalili gani nyingine kubwa zitakazojitokeza endapo ninatokwa na uchafu wa rangi njano kwenye uume na wakati wa kukojoa na kuhisi muwasho na kuunguaa?

​

Ni madhara gani yanayoweza patikana endapo nikichelewa huduma endapo ninatokwa na uchafu wa rangi njano kwenye uume na wakati wa kukojoa na kuhisi muwasho na kuunguaa?

​

Mimi ninatokwa na uchafu wa rangi njano kwenye uume na wakati wa kukojoa nahisi muwasho na kuungua

​

Naweza kujua dawa za abortion?

​

Je naweza kujua ULY CLINIC Pemba munapayikana wapi na hizo dawa zipo

​

bottom of page