top of page

Mwandishi:

Dkt. Benjamin L, MD,

Mhariri:

Dkt. James NL, MD

Imeboreshwa:

26 Septemba 2026, 09:04:15

Naweza kujua dawa za abortion?

Dawa zenye uwezo wa kutoa mimba ni:


  • Mifepristone (Mifeprex)
  • Misoprostol (Cytotec)

Dawa nyingine zenye matumizi maalum ya uzazi, lakini si dawa za kawaida za kutoa mimba ni:


  • Methotrexate (Otrexup, Rasuvo) — inaweza kutumika katika baadhi ya matibabu ya ujauzito wa nje ya kizazi, chini ya uangalizi wa kitabibu.
  • Carboprost tromethamine — hutumika zaidi kudhibiti kutokwa damu nyingi baada ya kujifungua au baada ya utoaji mimba.
  • Dinoprostone (Prostin E2) — hutumika zaidi kuanzisha uchungu wa kujifungua au katika hali maalum za uzazi.
  • Oxytocin (Pitocin) — hutumika kuanzisha/kusaidia uchungu wa kujifungua na kudhibiti kutokwa damu baada ya kujifungua; si dawa ya kawaida ya kutoa mimba.

Wasiliana na daktari wako kuhusu namna ya kutumia, aina, dozi na umri gani dawa hizi zinaweza kufanya mimba itoke.


Pata zawadi kwa kutoa maoni yako kuboresha mfumo huu, Bofya 👉Shiriki.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeandikwa,

3 Septemba 2026, 09:59:56

​

bottom of page