top of page

Majibu ya maswali mbalimbali

Naweza kutumia zaha-500 ya kidonge mara ngapi kwa siku?

​

Eti ZAHA-500 inatibu ugonjwa gani??

​

Je, vipele vigumu sehemu za siri ni dalili ya nini?? na vina sababishwa na nini??

​

Kama mwanaume amemwagia nje na kuingiza tena unaweza pata mimba

​

Nilishiriki tendo la ndoa, baadaye nilipima ujauzito kwa kutumia mkojo na kipimo kikaonyesha mstari mmoja. Nilikiangalia tena baada ya dakika 15 na ukaonekana mstari wa pili hafifu sana. Siku iliyofuata nilienda hospitalini na kupima damu, nikaambiwa nina mimba. Sasa nimeanza kuona damu ukeni na nina wasiwasi kama bado nina mimba au mimba imetoka. Nifanye nini?

​

bottom of page