top of page

Majibu ya maswali mbalimbali

Kama umeambukizwa VVU utachukua mda gani kuonekana kwa dalili?

​

Nina uvimbe mdogo nje ya kizazi ina shida hiyo?

​

Je mtu akikonda anaweza kuwa muashirika wa ukimwa

​

Mtoto wangu hataki kula nimfanyeje

​

Nilijifungua takriban miezi 3 iliyopita. Hedhi yangu ilianza tena takriban miezi 1 iliyopita na ilidumu siku kadhaa. Baada ya hapo nilishiriki tendo la ndoa mara kadhaa na nikatumia kidonge cha dharura mara moja baada ya tendo la mwisho. Tangu hapo sijashiriki tena wala kutumia kidonge cha dharura, na nimepata hedhi nyingine ambayo ilidumu siku kadhaa. Sasa nataka kutumia kalenda kufuatilia siku zangu za hedhi na siku za hatari. Nifanyeje?

​

bottom of page