top of page

Majibu ya maswali mbalimbali

Azuma inatibu UTI?

​

Nilikua namaumivu ya tumbo na kiuno, nikaanza kunywa maji mengi tangu jnne hadi Leo maumivu ya kiuno yameisha na tumbo nalihisi kwam baaali sana, Sasa nina antibiotics, sefalexin ,azuma,na dox ,naomba ushauri nitumie zipi kati ya hizo?

​

Je vyakula gani naweza kupata kwa sasa?

​

Je ukiwa unajisaidia kinyesi cheusi au kutapika matapishi yalio ambatana na damu dalili za nini?

​

Je kama nipo mbali na kituo cha afla huduma ya kwanza nifanye nn

​

bottom of page