top of page

Majibu ya maswali mbalimbali

Nime2mia misoprostol toka trh21 adi leo 23 sioni dalili ya kutokwa na damu nahalisha 2 nahisi kizunguzungu na kama kuishiwa nguvu

​

Je ukimeza dawa hiyo misoprostol ndani ya siku 3 unahalisha ujaona damu je hiyo ni dalili nzuri au mbaya?

​

Hedhi ya mwisho 16/3/... miaka yangu 40 je nitajifungua jinsia gani?

​

Kungia katika siku zako tarehe 13 na unatoka siku ya 4 au 5 siku ya hatari itakua tarehe ngapi?

​

Je nisahihi kutumia misoprost, fragili na Panadol

​

bottom of page