top of page

Mwandishi:

Dkt. Benjamin L, MD,

Mhariri:

Dkt. James NL, MD

Imeboreshwa:

26 Septemba 2026, 08:44:23

Hedhi ya mwisho 16/3/... miaka yangu 40 je nitajifungua jinsia gani?

Jinsia ya mtoto huamuliwa wakati wa utungaji mimba kulingana na kromosomu ya mbegu ya kiume hivyo haiwezi kutabiliwa kwa tarehe ya mwisho ya kuona hedhi. Hata hivyo kuna kikokotoo cha kitamaduni cha utabiri wa jinsi unaweza kukitumia;


Bofya 👉Utabiri wa jinsia ya mtoto kwa ajili ya kukokotoa jinsia ya mtoto.


Pata zawadi kwa kutoa maoni yako kuboresha mfumo huu, Bofya 👉Shiriki.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeandikwa,

23 Septemba 2026, 16:30:11

​

bottom of page