top of page
Mwandishi:
Dkt. Benjamin L, MD,
Mhariri:
Dkt. James NL, MD
Imeboreshwa:
26 Septemba 2026, 08:44:23
Jina la dawa
Jina la dawa linaweza kuwa jina asili au jina la kibiashara.
- Jina asili la dawa ni jina lililokubalika kimataifa kama jina halisi la dawa, mfano paracetamol.
- Jina la kibiashara la dawa ni jina lililopewa na mtengenezaji, mfano Panadol, Shelladol, na Calpol kwa paracetamol.
Pata zawadi kwa kutoa maoni yako kuboresha mfumo huu, Bofya 👉Shiriki.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeandikwa,
10 Septemba 2026, 18:20:03
bottom of page

