Mwandishi:
Dkt. Benjamin L, MD,
Mhariri:
Dkt. James NL, MD
Imeboreshwa:
26 Septemba 2026, 08:44:23
Kwa mzunguko wa siku 30 ovulesheni huwa tarehe ngapi?
Kwa mzunguko wa siku 30, ovulesheni hukadiriwa kutokea karibu siku ya 16 ya mzunguko.
Hesabu huanza na siku ya kwanza ya hedhi kuwa siku ya 1.
Kwa mfano, ikiwa hedhi ilianza tarehe 1:
- Siku ya 16 ≈ Ovulesheni
- Siku zenye uwezekano mkubwa wa kupata mimba huwa karibu siku ya 11–17.
Hii ni makadirio tu kwa sababu ovulesheni inaweza kutokea mapema au kuchelewa. Kwa hiyo, tarehe halisi ya kalenda haiwezi kujulikana kwa kutegemea urefu wa mzunguko pekee.
Bofya 👉Vikokotoo vya kiafya. Kujifunza kuhusu siku za hatari na mambo mengine.
Pata zawadi kwa kutoa maoni yako kuboresha mfumo huu, Bofya 👉Shiriki.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeandikwa,
3 Septemba 2026, 20:21:49

