top of page
Mwandishi:
Dkt. Benjamin L, MD,
Mhariri:
Dkt. James NL, MD
Imeboreshwa:
26 Septemba 2026, 12:54:52
Naomba kujua faida za juice ya komamanga
Faida za juisi ya komamanga ni pamoja na:
- Ina virutubisho vingi kama nyuzilishe, protini, vitamin C, na vitamin K.
- Husaidia kuzuia magonjwa ya michomo na magonjwa ya mwili kujishambulia.
- Inaweza kusaidia kupunguza hatari ya saratani ya tezi dume.
- Inasaidia kupunguza shinikizo la damu.
- Ina kemikali zinazoweza kupambana na magonjwa ya maungio ya mwili.
- Husaidia kutibu matatizo ya kinywa na kuimarisha nguvu za kiume.
Pata zawadi kwa kutoa maoni yako kuboresha mfumo huu, Bofya 👉Shiriki.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeandikwa,
1 Septemba 2026, 14:19:01
bottom of page

