Sehemu ya Matangazo
ULY CLINIC haiidhinishi au kupendekeza kampuni au bidhaa zinazotangazwa. Mapato yanayotokana na matangazo husaidia kuunga mkono dhamira yetu ya kutoa huduma kwa jamii bila kutafuta faida.
Vipo vidonge vya majira vya aina nyingi kama vile vya mchanganyiko wa kichochezi za estrogen na progesterone ambazo huitwa kitaalamu combined pills au kichochezi cha progesterone tu.
Ni vidonge vyenye kiasi kidogo ya vichocheo vya kutengeneza vya aina mbili projestini na estrojeni ambavyo vinafanana na vichocheo vinavyozalishwa mwilini.