top of page

Vidokezo vya Afya

Laetrine hukinga saratani na shinikizo la juu la damu

Laetrine hukinga saratani na shinikizo la juu la damu

Kampaundi ya Laetrine inauwezo wa kukinga na kutibu shinikizo la juu la damu pamoja na saratani. Ikifahamika pia kama Amygdalin au Vitamin B17, hupatikana kwa wingi kwenye vyakula na mbegu mfano tufaa na apricot.

Lala muda wa kutosha, imarisha afya yako

Lala muda wa kutosha, imarisha afya yako

Kulala muda wa kutosha huongeza ufanisi wa mwili na akili, pia ni kinga ya magonjwa sugu kama kisukari aina ya 2, magonjwa ya moyo, uzito mkubwa kupita kiasi na sonona. Jali afya yako, lala masaa yanayoshauriwa kiafya kulingana na umri wako.

Lishe bora kwa mtu anayeishi na kifafa

Lishe bora kwa mtu anayeishi na kifafa

Lishe bora husaidia kudhibiti degedege, kuboresha afya ya ubongo, na kupunguza madhara ya dawa kwa watu wanaoishi na kifafa. Aina maalum ya lishe kama ketogenic diet inaweza kusaidia kwa baadhi ya wagonjwa wanaokosa ufanisi wa dawa.

Lishe mbovu kwa mama mjamzito

Lishe mbovu kwa mama mjamzito

Lishe mbovu kwa mama mjamzito ni hatari kwa afya ya mama na mtoto. Zingatia ushauri wa lishe ili ujifungue mtoto mwenye afya bora.

Madhara ya kutoa mimba

Madhara ya kutoa mimba

kwa ujumla utoaji mimba wa kupanga unaonekana kutosababisha sana na madhara kwenye mimba zinazofuata. Hata hivyo kuna mahusiano kati ya kutoa mimba na kupata mtoto njiti au kujifungua kabla ya umri ujauzito.

bottom of page