top of page

Vidokezo vya Afya

Mazoezi ni dawa ya msongo

Mazoezi ni dawa ya msongo

Mazoezi hupunguza kiwango cha homoni zinazozalishwa wakati una msongo, na kuongeza homoni zinazoboresha hali ya moyo wako, kuondoa maumivu na kukupa usingizi. Tumia mazoezi kama dawa ya msongo.

Mazoezi ya kibofu cha mkojo

Mazoezi ya kibofu cha mkojo

Mazoezi ya kibofu cha mkojo huimarisha uwezo wa kibofu kutunza mkojo na hivyo kutibu ugonjwa wa kuponyoka kwa mkojo, hali inayotokea sana kwa wanawake waliojifungua au walio kwenye koma hedhi.

Mbinu za kufanya mtoto anywe dawa

Mbinu za kufanya mtoto anywe dawa

Kuigiza unakunywa, kutumia chombo tofauti cha kumnyweshea, kuchanganya na chakula au kubadilli njia ya kutoa dawa ni baadhi ya mbinu za kumfanya mtoto anywe dawa.

Mfungo katika Afya

Mfungo katika Afya

Mfungo wa kiafya huimarisha mwili na akili, hudhibiti uzito na kuzuia magonjwa yatokanayo na uzito mkubwa kama kisukari. Usifanye mfungo tu, fanya mfungo wa kiafya.

Mlo wa kuongeza uzito: Mtoto miezi 10

Mlo wa kuongeza uzito: Mtoto miezi 10

Ratiba ya mlo kwa mtoto wa miezi 10 inalenga kuongeza uzito kwa kutumia vyakula vya nyumbani vyenye virutubisho muhimu. Kwa lishe bora na msaada wa wataalamu, mtoto ana nafasi ya kufikia ukuaji mzuri na afya bora.

bottom of page