top of page

Imeandikwa na daktari wa ulyclinic

(Yuticaria)-Urticaria

 

Yutikaria ni neno lililotokana na neno la kilatini cha kisasa urticaria. Neno Urticaria limetokana na  mmea mmoja unaoitwa urtica wenye sindano ndogo sana inayoweza kuchoma  ngozi na kusababisha uvimbe wa kama mtu aliyeng'atwa na mdudu au nyuki.

 

Maana

Ugonjwa huu wa ngozi  hudumu kwa muda mfupi, mara nyingi chini ya masaa 24. Tatizo hili huweza kusababishwa na maambukizi, au mzio kwenye chakula na dawa na mara nyingi sababu huwa haijulikani sana kwa wagonjwa.

 

Yutikaria husababisha kuvimba na kuwasha na kuwa nyekundu kama vile umeng’atwa na mdudu.

 

Ugonjwa huu unaweza kuambatana na matatizo mengine kama Vaskulaitis, pamfigoid, na dermataitis ya hepatifomis

 

Endapo umeona una dalili hizi wasiliana na daktari wako. Unaweza kupata ushauri na tiba kutoka kwa madaktari wa ULY CLINIC kwa kubonyeza hapa au Hapa

Soma zaidi kuhusu, Aina Yutikaria, Visababishi,  Matibabu

Nenda kwenye magonjwa mengine ya ngozi kwa kubonyeza hapa

Yutikaria ya dematografizim-ulyclinic
Yutikaria ya mwanga wa jua ulyclinic
Yutikaria-ulyclinic
Utangulizi
Maana
bottom of page