top of page

Magonjwa ya ngozi

​

Soma kuhusu magonjwa ya ngozi hapa, endapo una tatizo lolote la ngozi na unahitaji ushauri na tiba popote pale ulipo wasiliana nasi hapa au pata tiba hapa

fangasi ukeni-uly linic.jpg

Maambukizi ya candida ni kisababishi kikuu cha miwasho na kutokwa na uchafu ukeni.

pashutizimu.jpg

Pershutizim

Kuota nywele nyingi kupita kiasi kwa wanawake

Ni tatizo la kuota nywele nyingi haswa hutumika kwa wanawake kwenye maeneo ambayo huwa na nywele kidogo au kutokuwa kabisa, mfano maeneo ya kidevuni, kifuani, shingoni

vidonda vya homa mdomoni-ulyclinic.jpg

Vidonda vya homa

Vidonda vya homa baridi mdodmoni

Vidonda vya homa mdomoni kwa jina jingine hufahamika kama cold sores ni maambukizi  yanayosababishwa na virusi . Hutokea kama vidonda vidogo vilivyo jaa maji kwenye  midomo yaani malengelenge

bottom of page