Mwandishi:
Mhariri:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
Dkt. Mangwella S, B, MD
31 Oktoba 2026, 15:23:43

Dawa ya UTI inayoweza kuniponya
Jibu kwa ufupi
Jibu kwa ufupi: Dawa hutegemea kipimo – kwa UTI ya kibofu mara nyingi nitrofurantoin; culture kwa mjamzito, mwanaume, figo au inayojirudia. Azithromycin si ya UTI. Soma UTI.
Maelezo
Kinachoamua dawa
Kibofu au figo.
Bakteria na usugu.
Mimba, umri, jinsia.
Magonjwa mengine.
Mwongozo (WHO AWaRe, STG)
Kibofu – nitrofurantoin (fosfomycin).
Cotrimoxazole/amoxicillin – kwa culture tu.
Figo/hali maalumu – cipro, ceftriaxone.
Azithromycin – hapana; soma Azithromycin au cipro.
Nini cha kufanya
Kipimo kwanza.
Maliza dawa.
Kunywa maji.
Usibakize mkojo.
Inajirudia – soma UTI sugu.
Dalili za hatari
Hospitali haraka ukiwa na:
Homa, kutetemeka.
Maumivu ya kiuno/ubavu.
Kutapika.
Mjamzito.
Kuchanganyikiwa (mzee).
Lini umwone daktari
Hakuna nafuu siku 2–3.
Damu kwenye mkojo.
Mwanaume mwenye UTI.
UTI 2+ ndani ya miezi 6.
Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
1. Dawa gani ya UTI ni bora?
Inategemea kipimo; mara nyingi nitrofurantoin kwa kibofu.
2. Cipro?
Si chaguo la kwanza kwa UTI ya kawaida.
3. Azuma?
Haitibu UTI.
4. Mjamzito?
Daktari atachagua dawa salama.
5. Kwa nini inarudi?
Usugu, chanzo, au si UTI.
6. Naweza kujinunulia dawa?
Hapana – kipimo kwanza.
Imeandikwa:
2 Aprili 2026, 19:07:13
ULY CLINIC inashauri usitegemee au kufuata ushauri wowote uliyoona kwenye makala hii bila kuwasiliana kwanza na daktari wako. Kabla ya kuchukua hatua yoyote ya matibabu, hakikisha umepata ushauri rasmi kutoka kwa daktari wako ili kuepuka madhara yoyote yanayoweza kutokea.
Makala hii ni ya kielimu tu na haitumiki kama mbadala wa matibabu ya daktari.
Rejea za mada hii:
World Health Organization. The WHO AWaRe (Access, Watch, Reserve) antibiotic book. Geneva: WHO; 2022.
Bonkat G, et al. EAU guidelines on urological infections. Arnhem: European Association of Urology; 2024.
Gupta K, et al. International clinical practice guidelines for the treatment of acute uncomplicated cystitis and pyelonephritis in women. Clin Infect Dis. 2011;52(5):e103–20.
Ministry of Health, United Republic of Tanzania. Standard Treatment Guidelines and National Essential Medicines List (STG/NEMLIT), 7th edition. Dodoma: Ministry of Health; 2026.

