top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeboreshwa:

Dkt. Glory, MD

ULY CLINIC

31 Oktoba 2026, 15:23:43

Je, ninaweza kuacha matumizi ya PEP na kuna hatari gani?

Jibu kwa ufupi


Jibu kwa ufupi: Usiache PEP mapema. Tukio jipya wakati wa PEP – endelea siku 28 tangu tukio la mwisho. Mwenza ana VVU – yeye ARV, wewe PrEP baada ya PEP. Soma PrEP.



Maelezo


Kuacha mapema


  • Hupunguza kinga.

  • Maliza siku 28.

  • Maudhi – ongea na mtaalamu, usiache mwenyewe.


Tukio jipya wakati wa PEP


  • Endelea siku 28 tangu tukio la mwisho.

  • Kondomu kuanzia sasa.

  • Pima zinaa.


Mwenza mwenye VVU


  • Yeye – ARV, virusi visionekane (U=U).

  • Wewe – PrEP baada ya PEP.

  • Kondomu hadi virusi visionekane.


Nini cha kufanya



Dalili za hatari


Kituoni haraka ukiwa na:


  • Homa, upele, koo kuuma wiki 2–4.

  • Macho/ngozi njano.

  • Kutapika kila dozi.


Lini umwone daktari



Maswali yanayoulizwa mara kwa mara


1. Naweza kuacha PEP ikibaki siku 3?

Hapana – maliza.

2. Nimefanya ngono wakati wa PEP?

Endelea siku 28 tangu tukio hilo.

3. PEP mfululizo ina madhara?

Kwa kawaida ni salama; fikiria PrEP.

4. Mwenza ni +V – nifanye nini?

Yeye ARV, wewe PrEP, kondomu.

5. Usaha ni UTI?

Kwa mwanaume mara nyingi ni zinaa.

6. Nipime lini?

Wiki 4–6 na miezi 3 baada ya tukio la mwisho.

Imeandikwa:

2 Aprili 2026, 17:08:33

ULY CLINIC inashauri usitegemee au kufuata ushauri wowote uliyoona kwenye makala hii bila kuwasiliana kwanza na daktari wako. Kabla ya kuchukua hatua yoyote ya matibabu, hakikisha umepata ushauri rasmi kutoka kwa daktari wako ili kuepuka madhara yoyote yanayoweza kutokea.

​

Makala hii ni ya kielimu tu na haitumiki kama mbadala wa matibabu ya daktari.

Rejea za mada hii:

  1. World Health Organization. Guidelines for HIV post-exposure prophylaxis. Geneva: WHO; 2024.

  2. Centers for Disease Control and Prevention. Antiretroviral postexposure prophylaxis after sexual, injection drug use, or other nonoccupational exposure to HIV — United States, 2025. MMWR Recomm Rep. 2025;74(1).

  3. Rodger AJ, et al. Risk of HIV transmission through condomless sex in serodifferent gay couples with the HIV-positive partner taking suppressive antiretroviral therapy (PARTNER): final results. Lancet. 2019;393(10189):2428–38.

  4. Ministry of Health, United Republic of Tanzania. Standard Treatment Guidelines and National Essential Medicines List (STG/NEMLIT), 7th edition. Dodoma: Ministry of Health; 2026.

bottom of page