top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

Dkt. Benjamin L, MD

31 Oktoba 2026, 15:23:37

Kikokotoo cha Siku za Hatari za Ujauzito

Jibu kwa ufupi


Jibu kwa ufupi: Weka tarehe ya kwanza ya damu halisi ya hedhi na urefu wa mzunguko. Tafuta mimba – tendo kila siku 1–2 ndani ya dirisha. Kuepuka mimba – usitegemee kalenda pekee. Soma Ovulesheni.



Maelezo


Kutumia kikokotoo


  • Siku ya 1 = damu halisi ya hedhi, si madoadoa ya kahawia.

  • Urefu wa mzunguko = siku ya 1 hadi siku kabla ya hedhi inayofuata.

  • Mzunguko unabadilika (mfano 26–32) – tumia mfupi na mrefu kupata dirisha pana.

  • Mfano mzunguko wa siku 30 – soma Siku za kukutana na mwanaume.


Kuthibitisha siku zako


  • Ute laini unaovutika kama yai bichi.

  • Vipimo vya ovuleshaji (LH).

  • Joto la asubuhi kupanda kidogo baada ya ovuleshaji.

  • Soma Dalili za siku za hatari.


Nini cha kufanya



Dalili za hatari


  • Maumivu makali upande mmoja na hedhi kuchelewa – hospitali mara moja.


Lini umwone daktari


  • Miezi 12 bila mimba (6 ukiwa 35+).

  • Mzunguko mfupi kuliko siku 24 au mrefu kuliko 38.

  • Hedhi isiyo na mpangilio.


Maswali yanayoulizwa mara kwa mara


1. Nianze kuhesabu siku ya madoadoa au damu halisi?

Siku ya damu halisi ya hedhi.

2. Mzunguko unabadilika, kikokotoo kinafaa?

Kwa makadirio tu; tumia mzunguko mfupi na mrefu.

3. Kalenda inazuia mimba?

Si salama peke yake.

4. Siku bora za kupata mimba?

Siku 2–3 kabla ya ovuleshaji na siku yenyewe.

5. Lishe husaidia?

Lishe bora na uzito wa wastani husaidia uzazi.

6. Lini tupime uzazi?

Miezi 12 (6 ukiwa 35+).

Imeandikwa:

2 Aprili 2026, 19:07:17

ULY CLINIC inashauri usitegemee au kufuata ushauri wowote uliyoona kwenye makala hii bila kuwasiliana kwanza na daktari wako. Kabla ya kuchukua hatua yoyote ya matibabu, hakikisha umepata ushauri rasmi kutoka kwa daktari wako ili kuepuka madhara yoyote yanayoweza kutokea.

​

Makala hii ni ya kielimu tu na haitumiki kama mbadala wa matibabu ya daktari.

Rejea za mada hii:

  1. World Health Organization. Family planning: a global handbook for providers. 2022 update. Geneva: WHO; 2022.

  2. Wilcox AJ, Dunson D, Baird DD. The timing of the 'fertile window' in the menstrual cycle. BMJ. 2000;321(7271):1259–62.

  3. Practice Committee of the American Society for Reproductive Medicine. Optimizing natural fertility: a committee opinion. Fertil Steril. 2022;117(1):53–63.

bottom of page