top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeboreshwa:

Dkt. Glory, MD

ULY CLINIC

31 Oktoba 2026, 15:23:37

Kuingia hedhi mara moja kwa mwaka

Jibu kwa ufupi


Jibu kwa ufupi: Si kawaida – mwone mtoa huduma kwa vipimo vya homoni na ultrasound. Tiba ipo na hulinda afya ya baadaye. Soma Hedhi isiyo na mpangilio kwa wasichana wa balehe.



Maelezo


Visababishi


  • PCOS – chunusi, nywele nyingi, uzito.

  • Uzito mdogo, ulaji duni, mazoezi makali.

  • Msongo mkubwa.

  • Tezi ya shingo.

  • Prolactin juu – maziwa kutoka.

  • Ovari kushindwa mapema – nadra.

  • Mimba – pima.


Hatari za muda mrefu


  • Ukuta wa mfuko wa uzazi kunenepa.

  • Mifupa kudhoofika (kwa estrogen ndogo).

  • Ugumu wa kupata mimba.

  • Kisukari na lehemu (PCOS).


Vipimo


  • Kipimo cha mimba.

  • LH, FSH, prolactin, TSH, testosterone.

  • Ultrasound ya ovari.

  • Uzito, BMI.


Nini cha kufanya



Dalili za hatari


  • Damu nyingi sana hedhi ikija, kizunguzungu – hospitali.


Lini umwone daktari


  • Hedhi chini ya mara 8 kwa mwaka.

  • Zaidi ya siku 90 bila hedhi.

  • Chunusi kali, nywele nyingi.

  • Soma Hedhi kuchelewa.


Maswali yanayoulizwa mara kwa mara


1. Hedhi mara moja kwa mwaka ni kawaida?

Hapana.

2. Nini husababisha?

Mara nyingi PCOS, uzito, msongo, tezi, prolactin.

3. Kuna madhara baadaye?

Ndiyo – mfuko wa uzazi, mifupa, uzazi.

4. Inatibika?

Ndiyo, kulingana na chanzo.

5. Nitaweza kupata mimba?

Wengi ndiyo kwa tiba.

6. Vipimo gani?

Homoni, ultrasound, kipimo cha mimba.

Imeandikwa:

2 Aprili 2026, 17:07:10

ULY CLINIC inashauri usitegemee au kufuata ushauri wowote uliyoona kwenye makala hii bila kuwasiliana kwanza na daktari wako. Kabla ya kuchukua hatua yoyote ya matibabu, hakikisha umepata ushauri rasmi kutoka kwa daktari wako ili kuepuka madhara yoyote yanayoweza kutokea.

​

Makala hii ni ya kielimu tu na haitumiki kama mbadala wa matibabu ya daktari.

Rejea za mada hii:

  1. Klein DA, Paradise SL, Reeder RM. Amenorrhea: a systematic approach to diagnosis and management. Am Fam Physician. 2019;100(1):39–48.

  2. Teede HJ, et al. Recommendations from the 2023 international evidence-based guideline for the assessment and management of polycystic ovary syndrome. J Clin Endocrinol Metab. 2023;108(10):2447–69.

  3. American College of Obstetricians and Gynecologists. Committee Opinion No. 651: Menstruation in girls and adolescents: using the menstrual cycle as a vital sign. Obstet Gynecol. 2015;126(6):e143–6.

bottom of page