Mwandishi:
Mhariri:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
Dkt. Helen L, M.D
24 Agosti 2026, 03:43:15

Laetrine hukinga saratani na shinikizo la juu la damu
Kampaundi ya Laetrine inauwezo wa kukinga na kutibu shinikizo la juu la damu pamoja na saratani. Ikifahamika pia kama Amygdalin au Vitamin B17, hupatikana kwa wingi kwenye vyakula na mbegu mfano tufaa na apricot.
Vyakula gani vina vitamin B17 kwa wingi?
Vyakula, mbegu, matunda na mboga za majani zenye kampaundi ya laetrine ni;
Mbegu kama
Apricot
Tufaa (apple)
Matunda damu (Plum)
Peasi
Matunda madogomadogo
Mtama
Chia
Buckwheat
Lozi
Mboga na viungo kama
Karoti
Celery
Mbaazi
Maharagwe aina nyingi isipokuwa maharagwe ya soya
Endapo unataka kutumia vyakula hivi kama kinga, ni vema ukavitumia kila siku. Ili kuweza kutumia kama dawa au tiba, ni vema ukatumia vidonge au dawa ya maji ya kuchoma. Dawa zilizotengenezwa huwa na kiwango cha dawa kinachofaa, endapo utazitumia hautapata maudhi madogo ambayo huonekana sana kwa watu wanaotumia kiini cha dawa kutoka kwenye chakula(mbegu) au kunywa dawa ya kidonge.
Mfano matumizi ya mbegu za tufaa kwa wingi huweza kuleta sumu mwilini. Matumizi kwa kiwango kianchotakiwa huwa hakidhuru mwili.
Soma zaidi kuhusu makala inayoendana na hii kwenye link ya Vyakula vya kula kwa mgonjwa wa saratani na shinikizo la juu la damu.
Endelea kufuatilia makala hii kwa maboresho na nyongeza zaidi. Endapo unataka kufahamu zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa namba za simu chini ya tovuti hii.
Imeandikwa:
2 Aprili 2026, 19:17:51
ULY CLINIC inashauri usitegemee au kufuata ushauri wowote uliyoona kwenye makala hii bila kuwasiliana kwanza na daktari wako. Kabla ya kuchukua hatua yoyote ya matibabu, hakikisha umepata ushauri rasmi kutoka kwa daktari wako ili kuepuka madhara yoyote yanayoweza kutokea.
Makala hii ni ya kielimu tu na haitumiki kama mbadala wa matibabu ya daktari.
Rejea za mada hii:
