top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

Dkt. Benjamin L, MD

31 Oktoba 2026, 15:23:43

Maumivu ya miguu wakati wa Ujauzito: Dalili, Sababu, Uchunguzi na Matibabu

Jibu kwa ufupi


Jibu kwa ufupi: Mara nyingi cramps, uchovu wa uzito, miguu kuvimba – nyoosha misuli, tembea, inua miguu, viatu vipana. Mguu mmoja kuvimba na kuuma, au kuvimba ghafla + kichwa kuuma – hospitali. Soma Kuvimba miguu kwa mjamzito.


Maelezo


Visababishi


  • Cramps usiku.

  • Uzito, mkao – unyayo na kisigino.

  • Kuvimba – maji, mishipa kubanwa.

  • Varicose veins.

  • Sciatica, maumivu ya nyonga.


Hatari


  • DVT – mguu mmoja.

  • Pre-eclampsia – kuvimba ghafla + kichwa.


Nini cha kufanya


  • Nyoosha misuli ya nyuma ya mguu kabla ya kulala.

  • Tembea, mazoezi mepesi.

  • Inua miguu ukipumzika.

  • Lala ubavu.

  • Viatu vipana, soksi za kubana.

  • Maji ya kutosha.

  • Miguu kuwasha – soma Miguu ya mjamzito kuwasha.


Dalili za hatari


Hospitali mara moja ukiwa na:


  • Mguu mmoja kuvimba, mwekundu, joto, ndama kuuma.

  • Kupumua kwa shida, kifua kuuma.

  • Kuvimba ghafla uso/mikono + kichwa kuuma/kuona giza.

  • Udhaifu wa mguu, ganzi.


Lini umwone daktari


  • Maumivu yanazuia kutembea.

  • Cramps kila usiku licha ya kunyoosha.

  • Kuvimba kunaongezeka – soma Kuvimba miguu.


Maswali yanayoulizwa mara kwa mara


1. Maumivu ya miguu wiki 37 ni kawaida?

Mara nyingi ndiyo.

2. Cramps zinazuiwaje?

Kunyoosha, kutembea, maji.

3. Magnesium inasaidia?

Ushahidi hafifu.

4. Kuvimba ni hatari?

Kidogo jioni ni kawaida; ghafla au mguu mmoja – hospitali.

5. Masaji?

Nyepesi ni salama; si kwenye mguu wenye uvimbe wa upande mmoja.

6. Itaisha lini?

Mara nyingi baada ya kujifungua.

Imeandikwa:

2 Aprili 2026, 19:07:17

ULY CLINIC inashauri usitegemee au kufuata ushauri wowote uliyoona kwenye makala hii bila kuwasiliana kwanza na daktari wako. Kabla ya kuchukua hatua yoyote ya matibabu, hakikisha umepata ushauri rasmi kutoka kwa daktari wako ili kuepuka madhara yoyote yanayoweza kutokea.

​

Makala hii ni ya kielimu tu na haitumiki kama mbadala wa matibabu ya daktari.

Rejea za mada hii:

  1. Luo L, et al. Interventions for leg cramps in pregnancy. Cochrane Database Syst Rev. 2020;12:CD010655.

  2. Royal College of Obstetricians and Gynaecologists. Reducing the risk of venous thromboembolism during pregnancy and the puerperium (Green-top Guideline No. 37a). London: RCOG; 2015.

  3. World Health Organization. WHO recommendations on antenatal care for a positive pregnancy experience. Geneva: WHO; 2016.

  4. Ministry of Health, United Republic of Tanzania. Standard Treatment Guidelines and National Essential Medicines List (STG/NEMLIT), 7th edition. Dodoma: Ministry of Health; 2026.

bottom of page