top of page

Dalili na viashiria vya magonjwa mbalimbali

Unashauriwa kufuata ushauri wa daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma makala. Bofya picha au neno soma zaidi ili kuingia kwenye makala kwa undani.

Mawe kwenye Figo

Mawe kwenye Figo

Husababisha maumivu makali ya tumbo au mgongo. Dalili kuu ni maumivu makali na ya ghafla yanayosafiri kutoka kona ya mbavu na mgongo hadi upande wa mgongo, sehemu ya juu ya kinena, na sehemu za siri.

Kutoisha kwa mkojo baada ya kukojoa

Kutoisha kwa mkojo baada ya kukojoa

Katika tiba kutoisha kwa mkojo mara baada ya kukojoa hufahamika kama 'urinary tenesmus' na neno 'kutomaliza kukojoa'.

Emfisema

Emfisema

Ni aina ya COPD inayosababisha kupumua kwa shida, midomo mruzi, kupumua haraka, na kifua cha pipa. Wagonjwa pia huonyesha ishara ya kupungua uzito, vidole rungu na bluu ya pembezoni.

Kukojoa kwa shuruti

Kukojoa kwa shuruti

Kukojoa kwa shuruti ni neno limetumika kumaanisha hamu ya kwenda kukojoa haraka iwezekanavyo pasipo kusubiri.

Kupungua uzito

Kupungua uzito

Neno kupungua uzito humaanisha hali ya kupungua kwa kiwango cha mafuta yaliyohifadhiwa chini ya ngozi.

bottom of page