top of page

Dalili na viashiria vya magonjwa mbalimbali

Unashauriwa kufuata ushauri wa daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma makala. Bofya picha au neno soma zaidi ili kuingia kwenye makala kwa undani.

Matege ya magoti kugusana

Matege ya magoti kugusana

Ni hali ya kawaida kwa watoto na mara nyingi hujirekebisha yenyewe bila matibabu. Hata hivyo, ni muhimu kutambua hali zinazoweza kusababisha genu valgum ya kipatholojia ili kuhakikisha uchunguzi na matibabu sahihi.

Miguu upinde

Miguu upinde

Ni hali ambapo miguu inajikunja kuelekea nje kwenye magoti, na kusababisha nyayo na vifundo vya miguu kugusana huku magoti yakiachana mbali. Hali hii inayosababishwa na matatizo kadhaa huwa na matibabu mbalimbali.

Maumivu ya kitovu kwa mtoto

Maumivu ya kitovu kwa mtoto

Zipo sababu nyingi za maumivu ya kitovu kwa mtoto kutoka matatizo madogo kama gesi hadi magonjwa makubwa yanayohitaji matibabu ya haraka. Ni muhimu kuwa makini na dalili zinazoambatana na maumivu haya na kumpeleka mtoto kwa daktari haraka ikiwa hali inazidi kuwa mbaya.

Maumivu ya kitovu

Maumivu ya kitovu

Maumivu ya kitovu ni hali kupata hisia za maumivu au bugudha katika eneo la kitovu. Hali hii inaweza kuwa ya muda mfupi au ya muda mrefu na inaweza kusababishwa na hali za kawaida au zinazohitaji matibabu ya haraka.

Shinikizo la juu la damu

Shinikizo la juu la damu

Shinikizo la juu la damu hutokea pale endapo msukumo wa damu umeongezeka kutokana na sababu mbalimbali.

bottom of page