top of page

Dalili na viashiria vya magonjwa mbalimbali

Unashauriwa kufuata ushauri wa daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma makala. Bofya picha au neno soma zaidi ili kuingia kwenye makala kwa undani.

Haja ngumu baada ya kujifungua

Haja ngumu baada ya kujifungua

Husababishwa na mabadiliko ya homoni na chakula wakati wa ujauzito. Kubadili mtindo wa maisha, matumizi ya vyakula vyenye nyuzinyuzi na maji kwa wingi hupunguza na kuzuia dalili hii.

Kuwashwa nywele

Kuwashwa nywele

Kuwashwa nywele ni dalili inayoweza kusababishwa na sababu za kawaida au zile zinazohusiana na magonjwa.

Maumivu ya Mkono

Maumivu ya Mkono

Hutokea kwenye eneo kati ya maungio ya kiganja cha mkono na bega ambayo huweza kutokea kama maumivu au uchungu, kuchoma au kutoboa yanayopelekea kuathiri utendaji kazi.

Maumivu ya tumbo la juu kulia

Maumivu ya tumbo la juu kulia

Miongoni mwa visabahishi ni vidonda vya tumbo, homa ya kongosho, homa ya ini na magonjwa ya mfumo wa damu na upumuaji. Baadhi ya visababishi huweza kupelekea mtu kupoteza maisha hivyo wasiliana na daktari upatapo dalili hii.

Maumivu ya tumbo la juu kushoto

Maumivu ya tumbo la juu kushoto

Visababishi huweza kuwa vidonda vya tumbo, homa ya tumbo na tezi kongosho. Baadhi ya visababishi huweza kupelekea mtu kupoteza maisha hivyo wasiliana na daktari upatapo dalili hii.

bottom of page