top of page

Dawa za mfumo wa Gastrointestino

Dawa za mfumo wa Gastrointestino(mfumo wa chakula) ni dawa zinazotumika kutibu matatizo mbalimbali katika mfumo kama vile vidonda vya tumbo, konstipesheni n.k

 

Bonyeza kipengele unachotaka kuona dawa kwenye kundi husika  na kusoma maelezo zaidi.

Dawa zilizoorodheshwa hapa ni zile za kutibu au Kudhibiti;

Dawa mfumo wa chakula/ Gasrtointestino chagua kuona dawa au kusoma zaidi

 1. Dawa za magonjwa sugu ya mfumo wa chakula

  1. Ugonjwa wa seliak

  2. Ugonjwa wa daivetikula na daivetikulaitiz

  3. Ugonjwa wa Inflamatori bawel

   1. Ugonjwa wa Asaletivu kolaitiz​

   2. Ugonjwa wa Crohns

  4. Ugonjwa wa Iritabo bawel

  5. Ugonjwa wa utumbo mfupi

 2. Dawa za kutibu Konstipesheni na Kutakasa tumbo

  1. Dawa za kutakasa tumbo

  2. Dawa za Konstipesheni

 3. Dawa za kutibu kuharisha

 4. Dawa za kutibu madhaifu ya tumbo na vidonda

  1. Dawa za kutibu dispepsia na gesi tumboni

  2. Dawa za vidonda vya tumbo na utumbo wa duodeno

  3. Dawa za kutibu ugonjwa wa kucheua tindikali (GERD)

  4. Dawa za kutibu maambukizi ya Helicobakta pailori

 5. Dawa za kutibu mzio

 6. Dawa za kutibu spazimu za misuli laini ya tumbo

 7. Dawa za kutibu matatizo ya Ini na magonjwa ambatwa

  1. Dawa za kutibu magonjwa ya biliari

  2. Dawa za kutibu varisi za esofagasi

 8. Dawa za kutibu obeziti(uzito mkubwa kupita kiasi)

 9. Dawa za kutibu matatizo ya maumbile ya haja kubwa

  1. Mipasuko ya tundu la haja kubwa

  2. Bawasili

 10. Dawa za kupunguza uzalishaji wa vimengenya chakula

 11. Dawa za kutunza tumbo

Usitumie dawa yoyote bila maelekezo na kuandikiwa na daktari wako

Pata ushauri na tiba kutoka kwa daktari wa ULY clinic kwa kubonyeza hapa

bottom of page