top of page
Mwandishi:
Dkt. Benjamin L, M.D
Mhariri:
Dkt. Peter A, M.D

Dawa za kutibu kisukari

10 Julai 2023 11:00:39
Image-empty-state.png

Dawa za kutibu kisukari hutegemea aina ya kisukari ambazo zipo mbili, kisukari aina ya kwanza na kisukari aina ya pili, kisukari aina ya kwanza hutibiwa kwa homoni insulin. Hii ni homoni inayoongeza matumizi ya sukari kwenye chembe mbalimbali mwilini na kisukari aina ya pili hutibiwa kwa dawa.

Dawa ya kutibu kisukari aina ya kwanza

Dawa za kutibu kisukari aina ya pili

 

1. Alpha-glucosidase inhibitors

 

2. Biguanides

 

3. Dopamine agonist
  • Bromocriptine

4. Dipeptidyl peptidase-4 (DPP-4) inhibitors

 

5. Glucagon-like peptide-1 receptor agonists (GLP-1 receptor agonists)

 

6. Meglitinides

 

7. Sodium-glucose transporter (SGLT) 2 inhibitors
  • Dapagliflozin (Farxiga)

  • Canagliflozin (Invokana)

  • Empagliflozin (Jardiance)

  • Ertugliflozin (Steglatro)

 

8. Sulfonylureas

 

9. Thiazolidinediones
ONYO: Usitumie dawa yoyote bila ushauri wa daktari. Dawa zinaweza kuleta madhara mwilini na pia matumizi ya baadhi ya dawa pasipo ushauri na vipimo husababisha  vimelea kuwa sugu dhidi ya dawa hiyo.
ULY clinic inakushauri kuwasiliana na daktari wako unapotaka kuchukua maamuzi yoyote yanayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari/Mfamasia wa ULY clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kupiga simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
11 Julai 2023 07:30:50
1. MEDICATIONDPP-4 Inhibitors. https://www.diabetes.co.uk/diabetes-medication/dpp-4-inhibitors.html. Imechukuliwa 24.06.2020

2. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/books/NBK551568/. Imechukuliwa 24.06.2020

3. Drugs.com. thiazolidinediones. https://www.drugs.com/drug-class/thiazolidinediones.html. Imechukuliwa 24.06.2020

4. FDA.https://www.accessdata.fda.gov/drugsatfda_docs/label/2011/021073s043s044lbl.pdf. Imechukuliwa 24.06.2020
bottom of page