top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeboreshwa:

Dkt. Sospeter M, MD

Dkt. Lugonda B, MD

27 Agosti 2026, 05:28:28

Gludown 500

Gludown 500

Gludown 500 ni jina la kibiashara la dawa inayofahamika kama metformin. Metformin ni aina ya dawa katika kundi la biguanide inayotumika kutibu ugonjwa wa kisukari aina ya 2.


Gludown 500 humaanisha kidonge cha metformin chenye uzito wa miligramu 500


Wapi unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu gludown 500 ?


Soma maelezo ya gludown 500 kuhusu magonjwa inayotibu, maudhi, madhara, namna dawa inavyofanyakazi na maelezo mengine kwenye mada zinazohusu:



Majina mengine ya kibiashara ya metformin


Majina mengine yanayoashiria metformin ni:


  • Fortamet.

  • Glucophage.

  • Glucophage XR.

  • Glumetza.

  • Riomet


Makala hii inasaidia kujibu na kupata linki ya kusoma kuhusu:


Gludown 500 ni dawa gani?, Gludown 500 ni nini?, Gludown 500 inatibu nini?, Gludown 500 hutibu nini?, Gludown 500 inatibu ugonjwa gani?, Gludown 500 inaruhusiwa kutumika na pombe?, Gludown 500 na pombe, Dawa ya Gludown 500, mjamzito anaweza tumia Gludown 500?, Gludown 500 naitumiaje?, Gludown 500 ni dawa ya nini?, Gludown 500 inafanya kazi baada ya masaa mangapi?, Je, Gludown 500 kwa siku unakunywa vidonde vingapi?, Matumizi ya Gludown 500, Gludown 500 ina madhara?, Gludown 500 hukaa muda gani mwilini?

ONYO: Usitumie dawa yoyote bila ushauri wa daktari. Dawa zinaweza kuleta madhara mwilini na pia matumizi ya baadhi ya dawa pasipo ushauri na vipimo husababisha  vimelea kuwa sugu dhidi ya dawa hiyo.
ULY clinic inakushauri kuwasiliana na daktari wako unapotaka kuchukua maamuzi yoyote yanayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari/Mfamasia wa ULY clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kupiga simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.

Imeandikwa:

2 Aprili 2026, 19:24:55

Rejea za mada hii:-

  1. Metiformin. https://www.mayoclinic.org/drugs-supplements/metformin-oral-route/description/drg-20067074. Imechukuliwa 04.06.2022

  2. Metformin dawa ya kutibu kisukari. https://www.ulyclinic.com/dawa/Metformin. Imechukuliwa 04.06.2022

  3. Metformin. https://www.ulyclinic.com/metformin. Imechukuliwa 04.06.2022

bottom of page