top of page

Dawa

ULY CLINIC inakutahadharisha kuwa matumizi ya dawa pasipo ushauri wa daktari yanaweza kuleta madhara makubwa mwilini mwako.

 

Siku zote wasiliana na daktari wako kwa elimu na ushauri wa dawa gani na namna ya kutumia dawa inayoendana na hali yako halisi kama mbadala ya kujichukulia hatua mwenyewe.

Bonyeza 'Soma zaidi ' kwenye dawa unayohitaji kuanza kusoma kuhusu dawa hiyo..

Dawa ya Capsofungin

Dawa ya Capsofungin

Capsofungin ni dawa mojawapo ya kutibu magonjwa ya fangasi iliyoko katika kundi la dawa linaloitwa antifangasi aina ya echinocandins. Dawa hii huwa maarufu pia kwa jina la Cansidas

Dawa ya Amphotericin- B

Dawa ya Amphotericin- B

Amphotericin B ni dawa mojawapo ya kutibu magonjwa ya fangasi iliyoko katika kundi la dawa linaloitwa antifangasi. Dawa hii huwa maarufu pia kwa jina la Fungizone

Dawa ya Griseofulvin

Dawa ya Griseofulvin

Griseofulvin ni dawa mojawapo ya kutibu magonjwa ya fangasi iliyoko katika kundi la dawa linaloitwa antifangasi. Dawa hii huwa maarufu pia kwa jina la Gris-peg.

Dawa ya Luliconazole

Dawa ya Luliconazole

Luliconazole ni dawa mojawapo ya kutibu magonjwa ya fangasi iliyopo katika kundi la dawa linaloitwa antifangasi. Dawa hii huwa maarufu kwa jina la luzu

Dawa ya Nystatin

Dawa ya Nystatin

Nystatin ni dawa mojawapo ya kutibu magonjwa ya fangasi iliyopo katika kundi la dawa linaloitwa antifangasi aina ya Polyene. Dawa hii huwa maarufu pia kwa jina la Mycostatin

Terbinafine

Terbinafine

Terbinafine ni dawa mojawapo ya kutibu magonjwa ya fangasi iliyopo katika kundi la dawa linaloitwa antifangasi aina ya allylamine. Dawa hii huwa maarufu kwa jina la lamisil

Dawa ya Naftifine

Dawa ya Naftifine

Naftifine ni dawa mojawapo ya kutibu magonjwa ya fangasi iliyopo katika kundi la dawa linaloitwa antifangasi aina ya allylamine. Dawa hii huwa maarufu kwa jina la Naftin

Dawa ya Cicloprox

Dawa ya Cicloprox

Ciclopyrox ni dawa mojawapo ya kutibu magonjwa ya fangasi iliyopo katika kundi la dawa linaloitwa antifangasi, dawa hii imezalishwa kiwandani na si matokeo ya dawa kutoka kwenye mimea. Ciclopyrox huwa maarufu pia kwa majina ya Loprox na penlac

Dawa ya Tolnaftate

Dawa ya Tolnaftate

Tolnaftate ni dawa mojawapo ya kutibu magonjwa ya fangasi iliyopo katika kundi la dawa linaloitwa antifangasi. Dawa hii huwa maarufu pia kwa majina ya tinactin na aftate. Rangi yake huwa ni nyeupe lakini hutegemea aina ya kiwanda kinachotengeneza

Dawa ya Undecylenic acid

Dawa ya Undecylenic acid

Undecylenic acid ni dawa mojawapo ya kutibu magonjwa ya fangasi iliyopo katika kundi la dawa linaloitwa antifangasi. Dawa hii huwa maarufu pia kwa jina la cruex

Dawa ya Econazole

Dawa ya Econazole

Econazole ni dawa mojawapo ya kutibu magonjwa ya fangasi iliyoko katika kundi la dawa linaloitwa antifangasi. Dawa hii huwa maarufu pia kwa jina la Ecoza.

Dawa ya Sulconazole

Dawa ya Sulconazole

Sulconazole ni dawa mojawapo ya kutibu magonjwa ya fangasi iliyoko katika kundi la dawa linaloitwa antifangasi aina ya Imidazole. Dawa hii huwa maarufu pia kwa jina la Exelderm

Hujapata dawa unayotafuta?

 

Endapo hujapata dawa unayotafuta andika katika kiboksi kilichoandikwa  "Tafuta chochote hapa...." juu ya kurasa hii na endapo hujapata katika kiboksi hiko basi wasiliana na wafamasia wa ULY CLINIC maelezo zaidi kuhusu dawa.

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kwa kubofya linki ya 'Mawasiliano yetu' au 'Pata tiba' chini ya tovuti hii

bottom of page