Dawa
ULY CLINIC inakutahadharisha kuwa matumizi ya dawa pasipo ushauri wa daktari yanaweza kuleta madhara makubwa mwilini mwako.
Siku zote wasiliana na daktari wako kwa elimu na ushauri wa dawa gani na namna ya kutumia dawa inayoendana na hali yako halisi kama mbadala ya kujichukulia hatua mwenyewe.
​
Bonyeza 'Soma zaidi ' kwenye dawa unayohitaji kuanza kusoma kuhusu dawa hiyo..

Dawa Elamipretide
Ikifahamika pia kama Forzinity ni dawa ya sindano inayoboresha kazi ya maitokondria kwa kufunga na kulinda kadiolipini, hivyo kuongeza uzalishaji wa nishati na kupunguza uchovu kwa wagonjwa wa Mayopathi ya Kimsingi ya Maitokondria. Imeonyesha kuboresha uwezo wa kufanya shughuli na kupunguza dalili za udhaifu wa misuli ya moyo kwa usalama mzuri katika tafiti za kliniki.

Dawa Aficamten
Aficamten ni dawa ya aina ya dawa kizuia ufanyajikazi wa misuli ya moyo inayotumika kutibu magonjwa ya kupanuka kwa misuli ya moyo kunakozuia mtiririko wa damu kwa kupunguza nguvu ya msukumo wa moyo na kuboresha dalili za mgonjwa. Imeonyesha ufanisi mkubwa na usalama mzuri kwenye tafiti za kliniki, ikisaidia kupunguza vizuizi vya mtiririko wa damu na kuboresha uwezo wa kufanya shughuli.

Dawa Plozasiran
Ikifahamika pia kama Redemplo ni dawa ya sindano ya RNA interference inayopunguza protini ya apoC-III ili kushusha kiwango cha triglycerides kwa wagonjwa wenye mafuta mengi hatarishi kama sindromu ya Sindromu ya kizazi cha kailomaikronemia. Imeonekana kupunguza hatari ya uvimbekinga wa tezi kongosho na kuboresha udhibiti wa mafuta mwilini kwa usalama mzuri.

Dawa Donidalorsen
Donidalorsen ni dawa mpya ya kisasa ya antisense oligonucleotide inayolenga kupunguza protini ya prekallikrein ili kudhibiti mashambulizi ya Hereditary Angioedema (HAE). Imeonyesha kupunguza mara kwa mara mashambulizi ya uvimbe kwa wagonjwa na kuboresha ubora wa maisha kwa usalama mzuri katika tafiti za kliniki.
Hujapata dawa unayotafuta?
Endapo hujapata dawa unayotafuta andika katika kiboksi kilichoandikwa "Tafuta chochote hapa...." juu ya kurasa hii na endapo hujapata katika kiboksi hiko basi wasiliana na wafamasia wa ULY CLINIC maelezo zaidi kuhusu dawa.
​
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kwa kubofya linki ya 'Mawasiliano yetu' au 'Pata tiba' chini ya tovuti hii

