top of page

Dawa

ULY CLINIC inakutahadharisha kuwa matumizi ya dawa pasipo ushauri wa daktari yanaweza kuleta madhara makubwa mwilini mwako.

 

Siku zote wasiliana na daktari wako kwa elimu na ushauri wa dawa gani na namna ya kutumia dawa inayoendana na hali yako halisi kama mbadala ya kujichukulia hatua mwenyewe.

Bonyeza 'Soma zaidi ' kwenye dawa unayohitaji kuanza kusoma kuhusu dawa hiyo..

Dawa ya Tigecycline

Dawa ya Tigecycline

Tigecycline ni aina ya dawa mojawapo ya antibayotiki jamii ya tetracycline ambayo hutumika kupambana na Maambukizi mbalimbali kwenye mwili.Dawa hii huwa maarufu kwa jina la Tygacil .

Dawa ya Tetracycline

Dawa ya Tetracycline

Tetracycline ni aina ya dawa mojawapo ya antibayotiki ambayo hutumika kupambana na Maambukizi mbalimbali kwenye mwili.Dawa hii huwa maarufu kwa majina ya sumycin na Actisite.

Dawa ya Rolitetracyxline

Dawa ya Rolitetracyxline

Rolitetracyxline ni aina ya dawa mojawapo ya antibayotiki ambayo hutumika kupambana na Maambukizi mbalimbali kwenye mwili.

Dawa ya Oxytetracycline

Dawa ya Oxytetracycline

Oxytetracycline ni aina ya dawa mojawapo ya antibayotiki jamii ya tetracycline ambayo hutumika kupambana na Maambukizi mbalimbali kwenye mwili.Dawa hii huwa maarufu kwa jina la terramycin

Dawa ya Minocycline

Dawa ya Minocycline

Minocycline ni aina ya dawa mojawapo ya antibayotiki jamii ya tetracycline ambayo hutumika kupambana na Maambukizi mbalimbali kwenye mwili.Dawa hii huwa maarufu kwa majina ya Dynacin na minocin.

Dawa ya Metacycline

Dawa ya Metacycline

Metacycline ni aina ya dawa mojawapo ya antibayotiki jamii ya tetracycline ambayo hutumika kupambana na Maambukizi mbalimbali kwenye mwili.Dawa hii huwa maarufu kwa jina la metacycline.

Dawa ya Meclocycline

Dawa ya Meclocycline

Meclocycline ni aina ya dawa mojawapo ya antibayotiki jamii ya tetracycline ambayo hutumika kupambana na Maambukizi mbalimbali kwenye mwili.Dawa hii huwa maarufu kwa jina la Meclocycline Sulfosalicylate

Dawa ya Doxycycline

Dawa ya Doxycycline

Doxycycline ni antibayotiki jamii ya tetracycline ambayo hutumika kutibu magonjwa yanayotokana na maambukizi ya bakteria.

Dawa ya Demeclocycline

Dawa ya Demeclocycline

Demeclocycline ni aina ya dawa mojawapo ya antibayotiki jamii ya tetracycline ambayo hutumika kupambana na Maambukizi mbalimbali kwenye mwili.Dawa hii huwa maarufu kwa jina la declomycin.

Dawa ya Chlortetracycline

Dawa ya Chlortetracycline

Chlortetracycline ni aina ya dawa mojawapo ya antibayotiki ambayo hutumika kupambana na Maambukizi mbalimbali kwenye mwili. Dawa hii huwa maarufu kwa jina aureomycin

Dawa ya Cephradine

Dawa ya Cephradine

Cephradine ni aina ya dawa ambayo ipo kwenye kundi la kwanza la antibayotiki ya Cephalosporin. Dawa hii hutumika kupambana na Maambukizi mbalimbali kwenye mwili.Dawa hii huwa maarufu kwa majina ya Intracef na Velocef.

Dawa ya Cephapirin

Dawa ya Cephapirin

Cephapirin ni aina ya dawa ya antibiotiki iliyo kwenye kundi la dawa daraja la kwanza la Cephalosporin. Dawa hii hutumika kupambana na Maambukizi mbalimbali kwenye mwili.

Dawa hii huwa maarufu kwa jina la cefapirin.

Hujapata dawa unayotafuta?

 

Endapo hujapata dawa unayotafuta andika katika kiboksi kilichoandikwa  "Tafuta chochote hapa...." juu ya kurasa hii na endapo hujapata katika kiboksi hiko basi wasiliana na wafamasia wa ULY CLINIC maelezo zaidi kuhusu dawa.

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kwa kubofya linki ya 'Mawasiliano yetu' au 'Pata tiba' chini ya tovuti hii

bottom of page