top of page

Maana

Dalili

Visababishi

Vihatarishi

Madhara

Vipimo

Matibabu

Kujikinga

Madhara

Imeandikwa na madaktari wa ULY-Clinic

DKA hutibiwa kwa kutumia maji maalumu ya hospitali, na madini kama sodium, potassium na chloride bila kusahamu sindano ya insulin

 

Madhara ya matibabu cha kushangaza hutokana na madhara ya matibabu ya kumsaidia mgonjwa. Madhara hayo ni

Kiwango cha chini cha sukari-Unapochomwa insulin kiwango ca sukari katika damu hushuka, kama sukari ikishuka kwa haraka sana hupelekea kiwango kidogo kwenye damu. Na madhara ya kiwango kidogo cha sukari huwa mengi ikiwa pamoja na kifo.

Kiwango kidogo cha potassium katika damu- maji na insulin inayotumika katika matibabu ya DKA huweza kusababisha kushuka kwa kiwango cha potassium katika damu, na hili husababisha kuvurugika kwa kazi za moyo, misuli na mishipa ya fahamu.

Kujaa maji kwenye ubongo- kushuka kwa kiwango cha sukari katika damu kwa haraka sana hupelekea kusabaisha maji kujaa kwenye ubongo. Tatizo hili hutokea sana kwa watoto haswa wale waliotambuliwa kuwa na kisukari hivi karibuni.

 

Kama DKA isipotibiwa hatari ni kubwa kwa sabau huwez akusababisha kupoteza fahamu na kifo.

 

 

Imechapishwa 3/3/2015

bottom of page