top of page

Dozi ya dawa

Katika kurasa hii, utajifunza kuhusu dozi ya dawa mbalimbali kulingana na ugonjwa unaotibika na dawa husika. Dozi ya dawa katika kurasa hii imejumuisha dozi ya dawa kwa watoto na watu wazima. Siku zote tafuta msaada kutoka kwa mtaalamu wa afya kabla ya kutumia dawa yoyote kuepuka madhara.

Ili uweze kusoma zaidi kuhusu dawa, magonjwa inayotibu na dozi ya kutumia, jiunge kwanza na huduma kwa 'kubofya hapa'

Dozi ya dawa ya usaha kwenye uume

Dozi ya dawa ya usaha kwenye uume

Kutoka usaha kwenye uume husababishwa na Neiserian gonorrhoeae, klamidia Trachomatis na Trichomonas Vagialis ambao hutibiwa kwa mchanganyiko wa dawa maalumu.

Dozi ya vidonda sehemu za siri

Dozi ya vidonda sehemu za siri

Treponema palladium, Haemophilus ducrey, Chlamydia trachomatis, Kirusi herpes simplex 2, na Calymmatobacterium granulomatis ni vimelea wanaosababisha vidonda sehemu za siri na hutibiwa kwa dawa.

Dozi ya Metronidazole

Dozi ya Metronidazole

Metronidazole ni dawa inayotumika katika matibabu ya magonjwa mbalimbali haswa yanayosababishwa na bakteria wa anaeroniki na protozoa.

Dozi ya doxycycline

Dozi ya doxycycline

Doxycycline ni aina ya antibayotiki inayotibu magonjwa mbalimbali yanayosababishwa na bakteria kama vile maambukizi kwenye kifua, ngozi, meno, baadhi ya magonjwa ya zinaa n.k.

bottom of page