top of page
Vihatarishi vya kupata ebola
​
imeandaliwa na madaktari wa ULY-clinic
​
Aina mbili za kujiweka hatarini kupata maambukizi ya kirusi cha ebora zinatambulika
​
-
Kujiweka hatarini kwa awali ni kwa wale watu wanaoenda kufanya kazi katika nchi au maeneo ugonjwa huo ulipo
-
Kujiweka hatarini kati ya mtu asiye na maambukizi ya ebola na mtu aliye na maambukizi ya ebola mfano(ndugu, dakitari na mgonjwa, wanaoandaa mazikio ya kuzika mgonjwa wa ebora na mtu anayeandaa nyama ya wanyama poli kwa ajiri ya binadamu, mtu anayefanya kazi kwenye wanyama jamii ya nyani)
​
Imechapishwa 3/3/2016
Imepitiwa 3/3/2018
bottom of page