top of page

Elimu ya magonjwa kwa mjamzito

Sehemu hii utajifunza maelezo ya ziada kuhusu matatizo mbalimbali ya kiafya wakati wa ujauzito. Unashauriwa siku zote kuwasilaina na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile iliyoandikwa humu ili kupata ushauri unaoendana na hali yako ya kiafya.

Dalili za uchungu wiki ya 36

Dalili za uchungu wiki ya 36

Mtoto anahitaji kuendelea kukua mfumo wa upumuaji na fahamu ili aweze ishi kwa kujitegemea atakapozaliwa. Maumivu ya mgongo, na tumbo la chini, kutokwa ute mwingi uliochanganyika damu au kumwagika maji mengi ukeni ni miongoni mwa dalili zinazoweza kutokea.

Dalili za uchungu wiki ya 35

Dalili za uchungu wiki ya 35

Mtoto anahitaji kuendelea kukua mfumo wa upumuaji na wa fahamu ili aweze ishi kwa kujitegemea atakapozaliwa. Maumivu ya mgongo, na tumbo la chini, kutokwa ute mwingi uliochanganyika damu au kumwagika maji mengi ukeni ni miongoni mwa dalili zinazoweza kutokea.

Dalili za uchungu wiki ya 34

Dalili za uchungu wiki ya 34

Mapafu ya mtoto bado hayajakomaa vema kuweza ishi kwa kujitegemea. Maumivu ya mgongo, na tumbo la chini, kutokwa ute mwingi uliochanganyika damu au maji mengi ni miongoni mwa dalili zinazoweza kutokea.

Dalili za uchungu wiki ya 33

Dalili za uchungu wiki ya 33

Mapafu ya mtoto bado hayajakomaa kuweza ishi kwa kujitegemea atakapozaliwa. Maumivu ya mgongo, na tumbo la chini, kutokwa ute mwingi uliochanganyika damu au maji mengi ni miongoni mwa dalili za uchungu.

Umri na kimo cha mimba kutofautiana

Umri na kimo cha mimba kutofautiana

Kimo cha mimba huweza kutambua umri wa mimba kwenye maeneo yasiyo na huduma ya kipimo cha ultrasound. Licha ya kukosa ufanisi mkubwa, inaweza kutambua madhaifu kwenye ujauzito.

bottom of page