Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Peter R, CO
Dkt. Mangwella S, MD
Alhamisi, 18 Novemba 2021
Beri nyekundu
Beri nyekundu ni matunda yenye rangi nyekundu na umbo dogo. Tunda hili huwa na viuaji sumu vingi muhimu lwenye moyo na kudhibiti kiwango cha sukari mwilini.
Berinyekundu inaeza kutumika kwa kuchanganywa kwenye chakula, sharubati, au kuliwa kwa kuitafunwa.
Viinilishe vinavyopatikana kwenye beri nyekundu
Sukari
Nyuzilishe
Mafuta
Protini
Kabohaidreti
Madini
Vitamini
Viinilishe vinavyopatikana kwenye beri nyekundu yenye gramu 100
Nishati = 33kcal
Protini = 0.67g
Sukari = 4.98g
Nyuzilishe = 2g
Kabohaidreti = 7.68g
Mafuta = 0.3g
Maji = 90.95g
Madini yanayopatikana kwenye beri nyekundu yenye gramu 100
Potassium = 154mg
Fosfolasi = 24mg
Kalisium = 16mg
Chuma = 0.41mg
Magnezium = 13mg
Sodiumu = 1mg
Zinki = 0.14mg
Manganese = 0.386mg
Vitamini zinazopatikana kwenye beri nyekundu yenye gramu 100
Vitamini B1 = 0.024mg
Vitamini B2 = 0.022mg
Vitamini B3 = 0.386mg
Vitamini B5 = 0.125mg
Vitamini B6 Â= 0.074mg
Vitamini BÂ9 = 24mcg
Vitamini C = 58.8mg
Vitamini E = 0.29mg
Vitamini K = 2.2mcg
Faida za kiafya zitokanazo na utumiaji wa beri nyekundu
Huimarisha afya na utendajikazi wa moyo
Hurekebisha kiwango cha sukari mwilini
Hupunguza hatari ya kupata na kansa
Huimarisha mishipa ya damu pamoja na mzunguko wa damu mwilini
Huongeza kinga ya mwili na kuukinga pamoja na magonjwa
Imeboreshwa,
18 Novemba 2021 16:50:15
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Hessayon, et al. (1996). The house plant expert. Sterling publishing company, inc. P. 146. Isbn 9780903505352. Hessayon, d. G. (1996). The house plant expert. Sterling publishing company, inc. P. 146. Isbn 9780903505352.
Esau, k. (2010). Anatomy of seed plants. John wiley and sons, new york. Isbn 0-471-24520-8.
Manganaris ga, et al. (march 2014). "berry antioxidants: small fruits providing large benefits". Journal of the science of food and agriculture. 94 (5): 825–33.