top of page

Majina ya dawa ya kibiashara

Powercef ni dawa gani?

Powercef

Powercef ni jina la kibiashara la ceftriaxone, antibayotiki ya kizazi cha tatu cha cephalosporin yenye uwanja mpana wa kutibu magonjwa yanayotokana na maambukizi ya bakteria wanaodhuriwa na dawa hii katika mfumo wa upumuaji, mkojo, tishu laini n.k

Ceft ni dawa gani?

Ceft

Ceft ni jina la kibiashara la dawa ceftriaxone, antibayotiki ya kizazi cha tatu cha cephalosporin yenye uwanja mpana wa kutibu magonjwa yanayotokana na maambukizi ya bakteria wanaodhuriwa na dawa hii katika mfumo wa upumuaji, mkojo, tishu laini n.k

Omlac 30 ni dawa gani?

Omlac 30

Omlac 30 ni jina la kibiashara la dawa inayofahamika kama Lansoprazole, dawa katika kundi la vizuia pampu ya protoni inayotumika kutibu magonjwa yanayotokana na uzalishaji mkali wa tindikali tumboni na kucheua tindikali.

Violin D ni dawa gani?

Violan D

Violan D ni jina la kibiashara la dawa yenye mchanganyiko wa Lansoprazole na Domperidone inayotumika kutibu homa ya mwendo na hali ya kichefuchefu na kutapika wakati wa safari.

Dulcolax ni dawa gani?

Dulcolax

Dulcolax ni jina la kibiashara la dawa inayofahamika kama Bisacodyl, dawa mojawapo ya kuchochea na kulegeza matumbo inayotumika katika matibabu ya haja ngumu.

Bicolex ni dawa gani?

Bicolex

Bicolex ni jina la kibiashara la dawa inayofahamika kama Bisacondyl, moja ya dawa katika kundi la dawa za kuchochea na kulegeza matumbo inayotumika kutibu haja ngumu.

bottom of page