top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

29 Oktoba 2026, 17:28:14

Chumvi yenye madini joto (iodized salt)

Chumvi yenye madini joto (iodized salt)

Majina mengine: iodised salt (Kiingereza)


Aina ya neno: neno la lishe


Maana: chumvi iliyoongezewa iodini.


Maelezo zaidi


  • Upungufu wa iodini wakati wa ujauzito huleta mtoto kudumaa kiakili na kimwili (cretinism).

  • Hifadhi chumvi kwenye chombo kilichofunikwa mbali na jua na unyevu; weka chumvi mwishoni mwa kupika.

  • Tumia chumvi kidogo – chini ya kijiko kimoja cha chai (g 5) kwa siku kwa mtu mzima.


Tazama pia: Virutubishi vidogo (micronutrients), Upungufu wa homoni za tezi ya shingo (hypothyroidism)

Imeandikwa:

29 Oktoba 2026, 17:28:03

bottom of page