top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

29 Oktoba 2026, 17:28:12

Fiziotherapia (physiotherapy)

Fiziotherapia (physiotherapy)

Majina mengine: tiba ya viungo; physiotherapy (Kiingereza)


Aina ya neno: aina ya matibabu


Maana: matibabu ya mwili kwa mazoezi na mbinu za kimwili.


Maelezo zaidi


  • Hutumika kwa: kiharusi, kuvunjika na kuteguka, maumivu ya mgongo, watoto wenye ulemavu (mf. cerebral palsy, mguu uliopinda), magonjwa ya kifua, baada ya kukatwa kiungo.

  • Mazoezi ya nyumbani aliyoelekeza mtaalamu ni sehemu kuu ya matibabu.


Tazama pia: Utengemao (rehabilitation), Tiba ya kazi (occupational therapy)

Imeandikwa:

29 Oktoba 2026, 17:28:03

bottom of page