top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

29 Oktoba 2026, 17:28:16

Tiba ya kazi (occupational therapy)

Tiba ya kazi (occupational therapy)

Majina mengine: occupational therapy, OT (Kiingereza)


Aina ya neno: aina ya matibabu


Maana: matibabu yanayolenga shughuli za maisha ya kila siku.


Maelezo zaidi


  • Hutumika kwa kiharusi, majeraha ya mikono, magonjwa ya akili, watoto wenye matatizo ya ukuaji, wazee.

  • Huweza kujumuisha marekebisho ya nyumba na vifaa saidizi.


Tazama pia: Utengemao (rehabilitation), Fiziotherapia (physiotherapy)

Imeandikwa:

29 Oktoba 2026, 17:28:03

bottom of page