top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

29 Oktoba 2026, 17:28:12

Utengemao (rehabilitation)

Utengemao (rehabilitation)

Majina mengine: rehabilitation (Kiingereza)


Aina ya neno: aina ya huduma


Maana: huduma za kurejesha uwezo wa mwili, akili na kijamii.


Maelezo zaidi


  • Hutolewa na wataalamu wa fiziotherapia, tiba ya kazi, tiba ya mazungumzo, vifaa saidizi na afya ya akili.

  • Kuanza mapema (hata hospitalini) huharakisha kupona na kuzuia ulemavu wa kudumu.


Tazama pia: Fiziotherapia (physiotherapy), Tiba ya kazi (occupational therapy)

Imeandikwa:

29 Oktoba 2026, 17:28:03

bottom of page