top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
29 Oktoba 2026, 17:28:15
Harufu ya ini kwenye pumzi (fetor hepaticus)
Majina mengine: fetor hepaticus (Kiingereza)
Aina ya neno: kiashiria (sign)
Maana: harufu ya pumzi inayotokana na kemikali zisizoondolewa na ini.
Maelezo zaidi
Huambatana mara nyingi na kuchanganyikiwa, mikono kupigapiga (asterixis), manjano na maji kujaa tumboni.
Huashiria ini kushindwa kufanya kazi na sumu kuathiri ubongo (hepatic encephalopathy).
Lini umwone mtaalamu wa afya
Mwenye ugonjwa wa ini mwenye harufu hii pamoja na kuchanganyikiwa au kusinzia – ni dharura.
Tazama pia: Ini kusinyaa na kuwa na makovu (cirrhosis), Harufu mbaya ya kinywa (halitosisi)
Imeandikwa:
29 Oktoba 2026, 17:28:03
bottom of page

