top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

29 Oktoba 2026, 17:28:18

Ini kuvimba (hepatomegali)

Ini kuvimba (hepatomegali)

Majina mengine: hepatomegaly (Kiingereza)


Aina ya neno: kiashiria (sign)


Maana: ukubwa usio wa kawaida wa ini.


Maelezo zaidi


  • Visababishi: homa ya ini, mafuta kwenye ini (unene, kisukari, pombe), moyo kushindwa kufanya kazi, malaria na kichocho, jipu la ini (amiba), saratani ya ini au iliyosambaa, saratani ya damu, selimundu kwa watoto.

  • Hupimwa kwa uchunguzi wa tumbo na ultrasound, pamoja na vipimo vya ini.


Lini umwone mtaalamu wa afya


  • Ini kuvimba pamoja na manjano, homa, maumivu ya tumbo la juu kulia au kupungua uzito.


Tazama pia: Homa ya ini (hepatitis), Wengu (spleen)

Imeandikwa:

29 Oktoba 2026, 17:28:03

bottom of page