top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

29 Oktoba 2026, 17:28:15

Kupasua na kutoa usaha (incision and drainage)

Kupasua na kutoa usaha (incision and drainage)

Majina mengine: incision and drainage, I&D (Kiingereza)


Aina ya neno: utaratibu wa matibabu


Maana: kufungua jipu na kuondoa usaha.


Maelezo zaidi


  • Hufanywa kwa nusukaputi ya eneo au kamili kutegemea ukubwa na mahali.

  • Baada ya hapo jeraha husafishwa na kuwekewa kizibo cha shashi mpaka lipone kutoka ndani.


Tazama pia: Jipu la kinyweleo (furuncle), Nusukaputi ya eneo (local anaesthesia)

Imeandikwa:

29 Oktoba 2026, 17:28:03

bottom of page