top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

3 Novemba 2026, 15:48:56

Neva za fuvu (cranial nerves)

Neva za fuvu (cranial nerves)

Majina mengine: mshipa wa fuvu la kichwa; cranial nerves (Kiingereza)


Aina ya neno: sehemu ya mwili


Maana: neva 12 za kichwa (I–XII).


Maelezo zaidi


  • I kunusa; II kuona; III, IV, VI mijongeo ya macho na mboni; V hisia za uso na kutafuna; VII misuli ya uso na ladha; VIII kusikia na uwiano; IX, X kumeza, sauti na moyo; XI misuli ya shingo na mabega; XII ulimi.

  • Kupooza kwa neva ya VII ni Bell's palsy; tatizo la VIII huleta upungufu wa kusikia au vetigo.


Tazama pia: Kupooza kwa neva ya uso (Bell's palsy); Shina la ubongo (brain stem)

Imeandikwa:

29 Oktoba 2026, 16:34:25

bottom of page