top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
6 Novemba 2026, 12:50:31
Nyuzinyuzi (dietary fibre)
Majina mengine: nyuzilishe; fibre, roughage (Kiingereza)
Aina ya neno: neno la lishe
Maana: kabohaidreti zisizomeng'enywa za mimea.
Maelezo zaidi
Vyanzo: nafaka zisizokobolewa (dona, mtama, uwele, mchele wa brown), maharage, njegere, mboga za majani, matunda na maganda yake, karanga.
Mtu mzima ahitaji takribani g 25–30 kwa siku; ongeza taratibu pamoja na maji ya kutosha.
Tazama pia: Virutubishi vidogo (micronutrients), Lehemu (cholesterol)
Imeandikwa:
29 Oktoba 2026, 17:28:03
bottom of page

