Uboreshaji wa ujuzi- Tabibu
Nyumbani
Mgonjwa
Daktari
Elimu Afya
Pata tiba
Ujauzito
Mlo Afya
Mafunzo
Dawa A-Z
Blogi
Dalili & Viashiria A-Z
Magonjwa A-Z
Virutubisho A-Z
Mengineyo
caps ni kifupisho cha neno la Kilatini ‘Capsule’ yenye maana ya ‘tembe’Katika tiba endapo dawa itaandikwa caps humaanisha dawa inayotumika iwe tembe na si kidonge.
mg ni kifupisho cha kitiba kinachotumika sana kwenye dawa. Ukikuta neno gm katika cheti cha dawa humaanisha kizio cha uzito katika miligramu. Miligramu 1000 ni sawa na gramu 1 ya dawa.
gm katika cheti cha dawa ni kifupisho cha kizio cha uzito katika gramu. Hivyo gm ni kifupisho cha neno gramu.
Katika tiba na cheti cha dawa h.d ni kirefu cha neno la Kilatini ‘hora decubitus’ lenye maana ya ‘wakati wa kulala’
h.s katika tiba ni kirefu cha neno la Kilatini ‘hora somni’ chenye maana ya ‘saa la kulala’