Sehemu ya Matangazo
ULY CLINIC haiidhinishi au kupendekeza kampuni au bidhaa zinazotangazwa. Mapato yanayotokana na matangazo husaidia kuunga mkono dhamira yetu ya kutoa huduma kwa jamii bila kutafuta faida.
Pangusa ni ugonjwa wa zinaa unaosababishwa na Haemophilus ducreyi na husababisha vidonda laini vinavyouma kwenye sehemu za siri. Husambazwa kwa ngono isiyo salama na hutibika kwa dawa za antibayotiki.