top of page

Kamusi Tiba ya ULY CLINIC

Latent phase of labor

Latent phase of labor

Latent phase of labor ni nini kwa kiswahili?

Active phase of labor ni nini?

Active phase of labor

Ni kipindi cha kujifungua ambapo mlango wa kizazi hupanuka kwa kasi kutoka takribani sentimita 5 hadi 10.

Window period, Dirisha la matazamio

Window Period

Window Period ni neno la kitiba linalofahamika kiswahili kama "Dirisha la matazamio"



Dirisha la Matazamio ni kipindi kati ya mtu kuambukizwa Virusi vya Ukimwi (VVU) na wakati ambapo vipimo vinaweza kubaini kwa uhakika uwepo wa maambukizi hayo.

Atopic dermatitis

Atopic Dermatitis

Atopic dermatitis ni neno tiba lenye jina la kiswahili la Ni neno tiba lenye jina la kiswahili la Dermatitisi ya Kiatopiki ni hali ya kitabibu ya muda mrefu (sugu) ya ngozi inayotokana na mchanganyiko wa sababu za kinasaba, kinga ya mwili, na mazingira. Hali hii husababisha kuvurugika kwa kuta ya ulinzi wa ngozi, jambo linalofanya ngozi iwe rahisi kukauka, kuingia vijidudu, na kutoa mwitikio mkali wa mzio.

Contact dermatitis

Contact dermatitis

Contact dermatitis ni nini kwa kiswahili?

bottom of page