Hisia ya kitu kimekwama kooni bila uwepo wa kitu halisi kukwama
Ni hisia ya kuwa na kitu kimekwama kooni bila kuwepo kizuizi halisi. Mara nyingi si hatari, lakini dalili zinazoambatana kama ugumu wa kumeza au kupungua uzito zinahitaji uchunguzi wa kitabibu.
Homaini kali ni mwitikio wa mchomokinga kwenye ini unaotokana sana na maambukizi ya virusini, dawa, sumu au magonjwa ya mtafunokinga na kuhifadhi mafuta.
Ni zao la chembe hai linalozunguka kwenye majimaji ndani ya mwili na hufanya kazi maalumu, mara nyingi hutuma ujumbe wa kuongeza ufanyajikazi wa chembe zilizo mbali na sehemu ilipozalishwa.